Ufafanuzi wa subui katika Kiswahili

subui

nomino

  • 1

    sehemu moja ya saba.

Asili

Kar

Matamshi

subui

/subuji/