Ufafanuzi wa subukua katika Kiswahili

subukua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    sukuma mtu kwa kidole, agh. kichwani k.v. wakati wa hasira au kuonyesha dharau.

Matamshi

subukua

/subukuwa/