Ufafanuzi wa sufii katika Kiswahili

sufii

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu anayejitolea maisha yake kwa kumwabudu Mwenyezi Mungu na kutojishughulisha na mambo ya dunia yanayokwenda kinyume na amri za Mwenyezi Mungu.

    mtawa

Asili

Kar

Matamshi

sufii

/sufi:/