Ufafanuzi wa sufu katika Kiswahili

sufu

nominoPlural sufu

  • 1

    manyoya, hasa ya kondoo, yanayotengenezwa nyuzi ambazo hutumiwa kutengenezea nguo zinazoleta joto mwilini.

Asili

Kar

Matamshi

sufu

/sufu/