Ufafanuzi msingi wa sugu katika Kiswahili

: sugu1sugu2

sugu1

nominoPlural sugu

 • 1

  ugumu katika mwili unaosababishwa na msuguano wa mara kwa mara wa sehemu ya mwili na kitu kingine.

  chuka, chunjua, kidutu

 • 2

  kuduku

Matamshi

sugu

/sugu/

Ufafanuzi msingi wa sugu katika Kiswahili

: sugu1sugu2

sugu2

kivumishi

 • 1

  -enye kustahimili maumivu.

 • 2

  -a kutosikia dawa au adhabu; -sioweza kuondolewa kwa urahisi.

  ‘Watu wengi wanasumbuliwa na malaria sugu’
  sui, kiloo, mkaidi

Matamshi

sugu

/sugu/