Ufafanuzi wa suhubiana katika Kiswahili

suhubiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanyiana urafiki na.

    ‘Huyo si mtu wa kusuhubiana naye’

Matamshi

suhubiana

/suhubijana/