Ufafanuzi wa suitafahamu katika Kiswahili

suitafahamu

nominoPlural suitafahamu

  • 1

    hali ya kutoelewana.

    ‘Manung’uniko yao yalitokana na suitafahamu iliyojitokeza miongoni mwa wajumbe’

Asili

Kar

Matamshi

suitafahamu

/suItafahamu/