Ufafanuzi wa sujudia katika Kiswahili

sujudia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    Kidini
    tukuza Mwenyezi Mungu kwa kusujudu.

    inamia

  • 2

    heshimu au tukuza mtu kupita kiasi.

Matamshi

sujudia

/suʄudija/