Ufafanuzi wa sujudu katika Kiswahili

sujudu

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
  • 1

    Kidini
    gusisha paji la uso chini wakati wa kusali.

  • 2

    Kidini
    toa heshima kubwa inayostahiki kupewa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

sujudu

/suʄudu/