Ufafanuzi msingi wa suka katika Kiswahili

: suka1suka2

suka1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  pitisha k.v. chane za ukindu wakati wa kutengeneza ukili au nywele wakati wa ususi baina ya zenyewe kwa zenyewe kwa madhumuni ya kupata mfumo fulani ulioshikana.

Ufafanuzi msingi wa suka katika Kiswahili

: suka1suka2

suka2 , sukasuka

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  tikisa kitu k.v. chupa iliyo na maji ndani au kitu kingine kwa kukipeleka huku na huku au kwa nguvu.

  ‘Suka mti uangushe matunda’
  ‘Mawimbi yanalisuka jahazi’
  tukuta

Matamshi

suka

/suka/