Ufafanuzi wa sukari katika Kiswahili

sukari

nominoPlural sukari

  • 1

    chembechembe zilizo tamu zinazotengenezwa agh. kutokana na miwa na hutumika katika vyakula na vinywaji.

    ‘Sukari guru’
    ‘Sukari mchanga’

Asili

Kaj

Matamshi

sukari

/sukari/