Ufafanuzi wa sultani katika Kiswahili

sultani

nominoPlural masultani

  • 1

    mtu mwenye cheo kikuu cha utawala wa kifalme, hususan Uarabuni.

Asili

Kar

Matamshi

sultani

/sultani/