Ufafanuzi wa sulubisha katika Kiswahili

sulubisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tesa mtu, hasa kwa kumpa kazi ngumu.

Matamshi

sulubisha

/sulubiāˆ«a/