Ufafanuzi msingi wa sulubu katika Kiswahili

: sulubu1sulubu2

sulubu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    weka msalabani kwa kupigilia au kufunga mikono kila mmoja upande wake; wamba msalabani.

Asili

Kar

Matamshi

sulubu

/sulubu/

Ufafanuzi msingi wa sulubu katika Kiswahili

: sulubu1sulubu2

sulubu2

nominoPlural sulubu

  • 1

    hali inayohitaji nguvu nyingi katika kutenda jambo.

Matamshi

sulubu

/sulubu/