Ufafanuzi wa suluhisha katika Kiswahili

suluhisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    patanisha k.v. watu waliogombana ili warudie hali ya uhusiano mwema.

    amua, ingilia

Asili

Kar

Matamshi

suluhisha

/suluhi∫a/