Ufafanuzi wa suluhu katika Kiswahili

suluhu

nominoPlural suluhu

  • 1

    mapatano au masikilizano yanayowafanya watu waliokuwa wamegombana wawe na uhusiano mzuri tena.

    upatanisho

Asili

Kar

Matamshi

suluhu

/suluhu/