Ufafanuzi wa sumbua katika Kiswahili

sumbua

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha kukosa utulivu au raha; tia taabu.

    ghasi, udhi, kera, sunza, hangaisha, kefya, tafiri, adhibu, virigiza, chokoza, sukasuka

Matamshi

sumbua

/sumbuwa/