Ufafanuzi wa sumbuka katika Kiswahili

sumbuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    poteza muda na nguvu katika kufanya jambo ambalo halihitajiki.

    haha, gaya, hangaika, taabika

Matamshi

sumbuka

/sumbuka/