Ufafanuzi wa sumisha katika Kiswahili

sumisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ana, ~ika, ~iwa

  • 1

    sababisha kuingiwa au kudhuriwa na sumu.

Asili

Kar

Matamshi

sumisha

/sumi∫a/