Ufafanuzi wa sumsuma katika Kiswahili

sumsuma

kivumishi

  • 1

    -enye nguvu za mwili.

    ‘Kijana sumsuma’

Matamshi

sumsuma

/sumsuma/