Ufafanuzi wa sumsumiya katika Kiswahili

sumsumiya

nomino

  • 1

    ngoma ya kukata mauno kwenye mandari.

Matamshi

sumsumiya

/sumsumija/