Ufafanuzi wa sundusi katika Kiswahili

sundusi

nomino

  • 1

    kitambaa maalumu kinachotengenezwa kwa hariri nyororo.

Matamshi

sundusi

/sundusi/