Ufafanuzi wa Suni katika Kiswahili

Suni

nominoPlural Suni

Kidini
  • 1

    Kidini
    kundi moja kati ya makundi makuu mawili ya dini ya Uislamu linalokusanya madhehebu manne ya Uislamu yanayoitwa Shafi, Maliki, Hanafi na Hambali.

Asili

Kar

Matamshi

Suni

/suni/