Ufafanuzi wa sunzu katika Kiswahili

sunzu

nominoPlural sunzu

  • 1

    mtindo wa kuchana nywele kwa kuziinua juu kidogo usoni.

Matamshi

sunzu

/sunzu/