Ufafanuzi wa suruali katika Kiswahili

suruali

nominoPlural suruali

  • 1

    vazi linaloshonwa na linalovaliwa kutoka kiunoni hadi kwenye jicho la mguu na lenye nafasi mbili zinazotenganishwa za kupenyezea miguu.

Asili

Kar

Matamshi

suruali

/suruwali/