Ufafanuzi wa surwa katika Kiswahili

surwa, serwa

nominoPlural surwa

  • 1

    nyongeza, agh. ya mchuzi, katika hoteli ambayo hupewa mlaji bila ya kutozwa pesa zaidi.

    ‘Nipe surwa’

Matamshi

surwa

/surwa/