Ufafanuzi msingi wa susa katika Kiswahili

: susa1susa2susa3susa4susa5

susa1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  kataa kufanya jambo.

  ‘Leo, huyu mtoto amesusa chakula’
  gahamu, huni, gusu, goma

 • 2

  kosa kuwa na ushirikiano au uhusiano na.

  ‘Siku hizi Mwinyi amenisusa’

 • 3

  fitini

Matamshi

susa

/susa/

Ufafanuzi msingi wa susa katika Kiswahili

: susa1susa2susa3susa4susa5

susa2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

Matamshi

susa

/susa/

Ufafanuzi msingi wa susa katika Kiswahili

: susa1susa2susa3susa4susa5

susa3

nominoPlural susa

 • 1

  funza anayekuwemo katika mwili wa mnyama au mtu baada ya kuumwa na aina fulani ya nzi.

Matamshi

susa

/susa/

Ufafanuzi msingi wa susa katika Kiswahili

: susa1susa2susa3susa4susa5

susa4

nominoPlural susa

 • 1

  ukoko katika meno unaosababishwa na uchafu.

  ngeja

Asili

Kar

Matamshi

susa

/susa/

Ufafanuzi msingi wa susa katika Kiswahili

: susa1susa2susa3susa4susa5

susa5

nominoPlural susa

 • 1

  sehemu ya nchani ya muwa isiyo tamu.

Matamshi

susa

/susa/