Ufafanuzi wa susuwaa katika Kiswahili

susuwaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~za

  • 1

    kauka na kuwa ngumu.

  • 2

    tahayari

Matamshi

susuwaa

/susuwa:/