Ufafanuzi wa swaga katika Kiswahili

swaga

kitenzi elekezi

  • 1

    ongoza ng’ombe kwa kuwapeleka mbiombio.

Matamshi

swaga

/swaga/