Ufafanuzi wa swahilisha katika Kiswahili

swahilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya neno la lugha ya kigeni lifuate othografia na matamshi ya Kiswahili.

Matamshi

swahilisha

/swahili∫a/