Ufafanuzi wa swali katika Kiswahili

swali

nomino

  • 1

    jambo linalotakiwa kujulikana jawabu lake; jambo linaloulizwa.

    ulizo, hoja, hesabu

Matamshi

swali

/swali/