Ufafanuzi wa swichi katika Kiswahili

swichi

nominoPlural swichi

  • 1

    kifaa kinachotumika kuruhusu au kusimamisha mkondo wa umeme kusambaa katika waya.

Asili

Kng

Matamshi

swichi

/switʃi/