Ufafanuzi wa swila katika Kiswahili

swila

nominoPlural swila

  • 1

    nyoka mwenye mate yenye sumu na ambaye huvimbisha shingo, agh. wakati wa kurusha mate yake.

    fira

Matamshi

swila

/swila/