Ufafanuzi wa taabika katika Kiswahili

taabika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika shida au mashaka.

    sumbuka, hangaika, dhikika

Asili

Kar

Matamshi

taabika

/ta:bika/