Ufafanuzi wa taabini katika Kiswahili

taabini

nominoPlural taabini

  • 1

    maelezo yanayotolewa ili kumkumbuka aliyekufa, agh. hufanywa baada ya siku arubaini tangu mtu huyo kufa.

    ‘Juzi tulimfanyia taabini mwenzetu’

Asili

Kar

Matamshi

taabini

/ta:bini/