Ufafanuzi wa taabisha katika Kiswahili

taabisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    tia au patia shida.

    dhulumu, thakilisha, tesa, udhi, chambisha, kefya, adhibu

Asili

Kar

Matamshi

taabisha

/ta:bi∫a/