Ufafanuzi msingi wa taahira katika Kiswahili

: taahira1taahira2taahira3

taahira1

nomino

 • 1

  mtu aliyepumbaa akili.

Asili

Kar

Matamshi

taahira

/ta:hira/

Ufafanuzi msingi wa taahira katika Kiswahili

: taahira1taahira2taahira3

taahira2

nomino

 • 1

  hali ya kuchelewa.

  ukawiaji, ulimatiaji

Asili

Kar

Matamshi

taahira

/ta:hira/

Ufafanuzi msingi wa taahira katika Kiswahili

: taahira1taahira2taahira3

taahira3

kivumishi

 • 1

  -enye akili zilizopumbaa na hivyo kutofanya kazi ipasavyo.

Asili

Kar

Matamshi

taahira

/ta:hira/