Ufafanuzi wa taalamika katika Kiswahili

taalamika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na elimu na ujuzi wa mambo.

    fahamu, jua

Asili

Kar

Matamshi

taalamika

/ta:lamika/