Ufafanuzi wa taaluma katika Kiswahili

taaluma, taalimu

nominoPlural taaluma

  • 1

    elimu inayopatikana kwa kujifunza au kufundishwa.

    elimu

Matamshi

taaluma

/ta:luma/