Ufafanuzi wa taamuli katika Kiswahili

taamuli

nominoPlural taamuli

  • 1

    uwezo wa kuvuta wazo au fikira juu ya jambo fulani; uwezo wa kuzingatia akilini jambo.

    tafakuri, zingatio

Asili

Kar

Matamshi

taamuli

/ta:muli/