Ufafanuzi wa taanisi katika Kiswahili

taanisi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    leta raha nyingi; pendeza sana.

    furahisha

Asili

Kar

Matamshi

taanisi

/ta:nisi/