Ufafanuzi wa taaradhi katika Kiswahili

taaradhi

kitenzi elekezi

  • 1

    taka kujua kwa kuulizauliza.

    ‘Usinitaaradhi’
    dadisi

Asili

Kar

Matamshi

taaradhi

/ta:raĆ°i/