Ufafanuzi wa taarifu katika Kiswahili

taarifu

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mwingine ajue jambo fulani; peleka habari za kujulisha jambo.

    sema, eleza, ripoti

Asili

Kar

Matamshi

taarifu

/ta:rifu/