Ufafanuzi wa taasubi katika Kiswahili

taasubi

nominoPlural taasubi

  • 1

    hali ya kumthamini zaidi mwanamume kuliko mwanamke.

Matamshi

taasubi

/ta:subi/