Ufafanuzi wa tabaini katika Kiswahili

tabaini

nominoPlural tabaini

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    tamathali ya usemi yenye dhana ya kukinzana lakini maana ya msingi haitenguki k.m. katika kitendawili ‘Yeye anatuona lakini sisi hatumwoni’.

Asili

Kar

Matamshi

tabaini

/tabajini/