Ufafanuzi wa tabaka katika Kiswahili

tabaka

nominoPlural matabaka

  • 1

    muambatano wa vitu kwa kimoja kuwa juu ya kingine.

    safu

  • 2

    kundi la watu wenye hali moja linalotokana na jamii yenye mfumo wa kiuchumi ambao hugawanya watu kufuatana na uwezo wao wa kumiliki na kutawala njia za kuzalisha mali.

Asili

Kar

Matamshi

tabaka

/tabaka/