Ufafanuzi wa tabaruku katika Kiswahili

tabaruku

kitenzi sielekezi

  • 1

    shiriki katika jambo k.v. sherehe au shughuli fulani, agh. kwa muda mfupi, ili kulipatia baraka.

Asili

Kar

Matamshi

tabaruku

/tabaruku/