Ufafanuzi wa tadbiri katika Kiswahili

tadbiri

nomino

  • 1

    uendeshaji mzuri wa jambo.

Asili

Kar

Matamshi

tadbiri

/tadbiri/