Ufafanuzi wa taflisi katika Kiswahili

taflisi

nominoPlural taflisi

  • 1

    tendo la kuchukua mali ya mtu anayedaiwa ili kulipia madeni yake; fanya kuwa muflisi.

    ‘Tia taflisi’

Asili

Kar

Matamshi

taflisi

/taflisi/