Ufafanuzi wa tafrani katika Kiswahili

tafrani

nominoPlural tafrani

  • 1

    hali ya kutokuwa na utulivu.

    ghasia, fujo

Asili

Kar

Matamshi

tafrani

/tafrani/